MATANGAZO/KAZI

TANGAZO NO 1

RAHISISHA MAISHA, AGIZA TOFARI ZA SIMENT, LIPA KWA AWAMU, JENGA KWA RAHA

Wakazi wa mkoa wa Songwe unaweza sasa kununua tafari kwa kulipa kwa awamu. Zingatia

  • 1 – Utalipa kwa kiasi unachotaka kwa muda unaotaka na kumaliza kwa malipo kwa muda uliojipangia mwenyewe
  • 2 – Malipo yote yatalipwa banki au wakala wa CRDB, halafu utawasilisha risit ya benki Ihoma stationary, utapewa risiti ya mashine EFD, hii yote ni kwa usalama wa fedha mtaja na kampuni
  • 3 – Kama utahitaji kuchukua tofari zako kabla ya muda ulioahidi utaruhusiwa kuchukuatafari za thamani isiyozidi fedha uliyowekeza.
  • 4 – Fedhaikilipwa haitarudishwa kwasababu mara tu baada ya kulipwa kiasi hicho kitatumika kuzalisha tofari za thamani hiyo, au hivyo basi apatikane mteja wa kuchukua tofari zako.
  • 5 – Tutajari bidhaa za wateja kwa nidhamu kubwa na kumbukumbu za fedha zao.
  • KARIBUNI SANA.
JENGA KWA POZI

TANGAZO NO 2

20/03/2022

UTALIPENDA TANGAZO HILI

SONGWE NI SALAMA UNANAJUA NI KWANINI? FUATILIA

1 SISI WOTE, TUMEPIMA MAAMBUKIZI YA VVU.

2 SISI WENYE VVU TUMEUNGANISHWA NA VITUO VYA HUDUMA KWA UANGALIZI NA MATIBABU,

3 SISI AMBAO HATUNA MAAMBUKIZI YA VVU, TUNACHUKUA HATUA SAHIHI KUJILINDA NA MAAMBUKIZI YA VVU

4 KIZURI ZAIDI SWALA LA MAENDELEO LINATUHUSU WOTE NI JUKUMU LA PAMOJA.

NI VIZURI NA WEWE UKASHAURI KWENU MFANYE HIVYOHIVYO KUIWEKA JAMII YENU SALAMA! UPO!!

TANGAZO NO 3

NAFASI KWA VIJANA UKICHANGAMKIA

DOWNROAD KUPATA MAELEZO

TANGAZO NO 4

MWAGILIA SHAMBA LAKO KWA SOLA

UWEZO WA KUFANYA KAZI wa Futurepump SF 2 sola kwa picha

TANGAZO NO 5

Shop

SELECT A PRODUCT THEN CLICK FOR MORE DETAIL. ihomacompany@gmail.com
Product categories . > COMPUTER ACCESSORIES. > DESKTOP COMPUTER. > FLASH/MEMORY&DRIVER. > LAPTOP. > OTHER COMPUTER ACCESSORIES. > PHONE. > PRINTERS & PHOTOCOPY MACHINE, > SOFT WARE. > SPARE-PART FOR ELECTRONICS. > ELECTRONICS. > STATIONARY. > TOFARI NA VIFAA VYA UJENZI. > UNCATEGORIZED. > VIFAA VYA KILIMO

Leave a Reply