IHOMA CO. LTD

IHOMA COMPANY LIMITED. Kwa mjibu wa sheria ya makampuni ya mwaka 2002 kampuni ilisajiriwa rasmi tarehe 25 January 2018. Namba ya usajiri ni 140703, Utabulisho wa mlipa kodi (TIN NO)  136-108-212

Ofisi kuu ipo Tanzania Bara, Mkoa wa Songwe, Wilaya ya Mbozi mjini Vwawa. 

Dhima:- Maisha Bora yenye Tija na Afya kwa Jamii. (Mission:- Better Life with Profit to Healthy Society).

Dira:- Kutengeneza  na Kuibua Fursa zitakazoleta Ajira yenye Tija kwa Jamii ili kufikia Maisha Bora (Vision:- Prepare and Secure Profitable Sources to Create Social Social Employment for Profitable Safe life).

Maadili:- Utendaji Bora wa Kazi, Ushirikiano, Uadilifu, Angavu, na Uwajibikaji (Value:- Good work Practice, Integrity, Trustworthy, Transparency and Accountability).

KARIBU SANA!

  • Tunakupongeza kwa kutembelea humu ndani.Tunakukaribisha ujuwe tunafanya nini. Tupo mjini Vwawa karibu na ofisi ya Uhamiaji Wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe, Tangazo letu linaelekeza IHOMA STATIONARY.

KAZI TUNAZOFANYA

Tunafanya kazi za Stationary na kuuza vifaa vya kompyuta kwa lugha rahisi (STATIONARY SERVICE’S, COMPUTER, AND COMPUTER ACCESSORIES). = Kazi hii tunapenda utuunge mkono ili na sisi tukuhudumie katika mikono salama. Usisite kutushauri kwa lengo mahususi la kukuza biashara hii.

Tumia njia zifuatazo kutufikishia ujumbe:- Tumia huu mtandao wa tandabui kwa website hii fsv.jpk.mybluehost.me/www.ihoma.co.songwe.com  Email ihomacompany@gmail.com, Namba za simu kwa waliopo ofisini ni

IHOMA COMPANY LIMITED

ADMIN = GABRIEL GAVU – 0759 907 072.

1- Omaleta – 0766 487 039,

2 – Laimos  0762 707 121

3- Enock – 0754 299 710.

4. Nerbert – 0787/0767-121 243

Unaweza kutafuta bidhaa zetu kwa kubofya (click) kwenye batani ya MENYU (MENU), kama kifaa chako (device) hakioneshi orodha ya MENU wazi, hasa kwa wanaotumia Simu Bofya(click) SHOP/DUKA utaona bidhaa zetu na bei zake . vinjari sasa.

Ukitaka bidhaa yetu ukiwa mbali na Vwawa, wasiliana na sisi, tutajie usafiri unaotumia, lipa hiyo bidhaa kwa lipa M- PESA au kupita CRDB BANK, ili tukutumie au tukuletee mzigo unaoambatana na risiti yake kadiri maridhiano yetu na wewe yatakavyo elekeza. Akaunt zimeainishwa kama ifuatavyo:-

LIPA M-MPESA  5793118    GABRIEL GAVU,

NMB BANKI 61010035273  GABRIEL GAVU,

CRDB BANK  0152257339600   GABRIEL GAVU,

CRDB BANK  0150348855200   IHOMA COMPANY LTD.

COMMENTS/TOA MAONI :- Click Recent Comment or Comment near the Title – Subcribe envelop – click down icon – Notify new,follow-up comments – Select icon on new follow-up or New replies to mycomments- Email then follow istruction.

Tutaendelea kuwaletea habari njema kwa yajayo ambayo bilashaka yatafurahisha.

Unaweza Kupata Bahasha zifuatazo; – DL, A5, A4, A3 na Leagal paper. Karibu
Tunauza Computer kwa kiwango kidogo mwisho wa siku tutajitahidi kuwa na sampuli zote. ni raha mteja AKIJICHAGULIA.
  • Lamination kwa uhakika
  • Toner Cartridge kwa urahisi zaidi.
  • Fika upate huduma hizi
  • Jipatie wino wa Epison machine kwa urahisi zaidi
  • NPG ni mahali pake
  • Tunafanya kazi pamoja na Anycolor Company
  • Lamination pouch/paper
  • Picha ndogo zinakatwa kwa umakini mkubwa
  • Ni moja ya sampuli za Rim
  • Rim kwa kazi nzuri ya kutoa kopi.
  • USD kwa ajiri ya Plinter
  • Hizi ni sampuli za wino .
  • Tunatoa/tunaosha picha
  • Huduma zote za Staionary zinapatikana
  • Tupe wazo jipya
  • Usajiri wa hati za kusafiri nje ya nchi Tuulize
  • Ofisi ipo kwa ajiri yako
  • Pata wino wa Plinter aina Mbalimbali
  • USD kwa kiwango bora
  • Jipatie Cables kwa urahisi

  • Utahudumiwa kazi mbalimbali zinazohusu  kuchapa, kutoa kopi, Lamination, Kupiga picha zamuda mfupi, na kuandikisha hati za Kusafiria nje ya nchi mtandaoni
    Pata Plinter USD mbalimbali hapa.
Bei zetu ni Rafiki Kwako. Fika mwenyewe usisubiri kuambiwa. Tupo kwa ajiri yako.
IT CONSUMABLES/ACCESSORIES
tonners, cartridges, flash disk, external hard disk, cameras, modern, routers and etc

OFFICE AUTOMATION
printers, binding and lamination machine, projectors, cutting machine, photocopy machine, computers, laptop, ID card printers etc. in time goes on target.
Pata huduma ya photocopy kwa kiwango unachotaka.

HUDUMA IPI UNAITAKA:- TEMBELEA HAPA CHINI.

Toner Cartridge zinapatikana kwa urahisi na kwa karibu nawewe zaidi.
Unaweza kupata INK za machine au Printer za Epson (Epson exceed your vision.
Muonekano wa bidhaa mbalimali zinazosambazwa na kampuni ya Anycolor Com zinapatikana hapa
Pata huduma ya Lamination kwa umakini mkubwa, Huduma rafiki na nzuri ya aina yake.
Pata Wireless Mouse na zakawaida -direct conection mouse, zipo karibu na ulipo nikimaanisha Vwawa – Mbozi-Songwe.
Printing, Photo print, Photocopy, and Scanning. Ni huduma inafanywa kwa mashine za kisasa ili kazi yako ipendeze. Fika uhudumiwe.
Jipatie Keyboard ili uboreshe kompyuta yako bila wasiwasi zipo hapa.
Jinsi gani hatutaki upate shida Huduma imesogea karibu na wewe.
Tumekusogezea Huduma kwa karibu kabisa. Pata wino huu hapahapa Vwawa – Ihoma Stationary. Baadhi ya wino hizo ni 05A, 83A, 17A, 78A. na ….
Hii ni kazi yetu nzuri tunayifanya karibu na wewe tufanye kazi wote.