KAZI TUNAZOFANYA

Tunafanya kazi za Stationary na kuuza vifaa vya kompyuta kwa lugha rahisi (STATIONARY SERVICE’S, COMPUTER, AND COMPUTER ACCESSORIES,& ALSO DESIGNING) = Kazi hii tunapenda utuunge mkono ili na sisi tukuhudumie katika mikono salama. Usisite kutushauri kwa lengo mahususi la kukuza biashara hii.

Tumia njia zifuatazo kutufikishia ujumbe:- Tumia huu mtandao wa tandabui kwa website hii ihoma.org

Email ihomacompany@gmail.com, Namba za simu kwa waliopo ofisini ni

1- Omaleta – 0766 487 039, na 2- Enock – 0754 299 710.  IHOMA COMPANY LIMITED = ADMIN = GABRIEL GAVU – 0759 907 072. 

Unaweza kutafuta bidhaa zetu kwa kubofya (click) kwenye batani ya MENYU (MENU), kama kifaa chako (device) hakioneshi orodha ya MENU wazi, hasa kwa wanaotumia Simu Bofya(click) SHOP utaona bidhaa zetu na bei zake . vinjari sasa.

UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
CERTIFICATE OF SUPPLIER REGISTRATION
This is to confirm that, pursuant to Regulation 345 of GN 446 Ms IHOMA COMPANY
LIMITED of MBOZI, Tanzania has been successfully registered in TANePS as a user
in the category of Private Company, for a period of 12 months with effect from
07/05/2020. The assigned certificate reference is 13501/2020.
This certificate is valid when annual fee is paid for the year the system is used and in
accordance with the Public Procurement Act Cap 410, Regulations made under it
and Guidelines issued by the Public Procurement Regulatory Authority from time to
time.
Issued and printed from TANePS
Chief Executive Officer
PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY

COMMENTS/TOA MAONI :- Click Recent Comment or Comment near the Title – Subcribe envelop – click down icon – Notify new,follow-up comments – Select icon on new follow-up or New replies to mycomments- Email then follow istruction.

SONGWE NINAYOITAKA

Lengo la Ukurasa huu ni kwamba siyo kila mtu ana nafasi ya kumuona kiongozi kutoa maoni yake juu ya kile anachotaka kiboreshwe au kushauri mfano Miundombinu ya mji au vijiji. Hii ni lugha tu jammbo linaweza kuwa ni la kimtaa, kiwilaya, kimkoa, na kitaifa, Shariti la la wazo lako liwe la Maendeleo au Maboresho. SIASA siyo mahala pake. Kama mapendekezo yatakuwa na dhana chanya kwa maendeleo yamependekezwa au kutolewa naamini tunaweza kuwaunganisha viongozi kwenye mtandao huu na wakayaona maoni yetu, wakaendelea kuyafanyia kazi. Huwezi amini kuna mambo yanafanywa na viongozi wa juu lakini mawazo yalitoka huku chini kabisa. Basi maoni kama haya hiyo ni sehemu yake sahihi.

Categories: Uncategorized

Leave a Reply